TASWIRA YA SIKU YA POLISI ILIVYOADHIMISHWA MKOANI MOROGORO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TASWIRA YA SIKU YA POLISI ILIVYOADHIMISHWA MKOANI MOROGORO

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro Faustini Shilogile akitoa taarifa kuhusu maadhimisho ya miaka 94 ya Jeshi la Polisi Nchini iliyoadhimishwa jana.Ambapo Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro walifanya usafi kwenye Kambi ya  kulea wazee na wasiojiweza ya Funga funga na Kutoa msaada kwa wazee hao pamoja na watoto yatima wa kituo cha Mgolole.
 Mwenyeki wa wazee  akitoa Neno la shukrani wakati wa ugeni huo wa polisi walivyotembelea kambi yao ya wazee na wasiojiweza wa funga funga Mkoa Morogoro 
 Bibi aliyekuwa kwenye kambi ya wazee wa Funga funga anakadiriwa kuwa na miaka 105.
  Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro Faustini Shilogile akiwa Na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Morogoro  Japhet Kibona wakifanya usafi katika kambi ya kulea wazee na wasiojiweza ya Funga funga
 Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro wakishirikian kufanya Usafi katika kambi ya wazee hao
  Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro Faustini Shilogile Akikabidhi Sehemu ya Misaada kwa Mlezi wa Kituo hicho Mtawa  Felista Mwinuka.
  Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro Faustini Shilogile akiwa amembeba Mmoja wa watoto yatima walio katika kituo cha kulea watoto yatima  cha mgolole. 
Picha ya pamoja ya Askari wa Jeshi la polisi pamoja na Watoto yatima.. Picha Na MATUKIO NA MICHAPO BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages