Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California, aliyeshiriki Big Brother Africa season 8 "The Chase" na hatimaye kutolewa . Katika video hii Nando amefunguka kuhusu kilichomfanya atolewe mjengoni, maisha ya mle ndani na pia ameweka bayana mipango yake ya baadaye, nini kinachofuata baada ya BBA.
Kwa interview zaidi tembelea
www.swahilitv.blogspot.com
www.swahilitv.info
Kwa interview zaidi tembelea
www.swahilitv.blogspot.com
www.swahilitv.info
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)