SERENGETI FIESTA SOKA BONANZA: LIVERPOOL YAIBUKA KIDEDEA MKOANI SINGIDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SERENGETI FIESTA SOKA BONANZA: LIVERPOOL YAIBUKA KIDEDEA MKOANI SINGIDA

Timu ya Liverpool moani Singida imefanikiwa kunyakua kikombe na zawadi nono ya fedha baada ya kuwafunga Beryen Munich magoli 2-0 katika mchezo wa fainali wa Serengeti Fiesta Soka Bonanza uliofanyika kwenye viwanja vya Peoples Club mjini Singida.
Kabla ya mchezo huo wa fainali, mapema Liverpol iliwaondosha Bacelona na Chelsea, wakati nayo Beryen Munich iliwafunga AC Milan 1-0 na Arsenal







No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages