SAKATA LA SHEIKHE ISSA PONDA: WAISLAMU WAGEUZA KITUO KIKUU CHA POLISI MOROGORO KUWA SEHEMU YA SWALA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SAKATA LA SHEIKHE ISSA PONDA: WAISLAMU WAGEUZA KITUO KIKUU CHA POLISI MOROGORO KUWA SEHEMU YA SWALA

Waumini wa dini ya kiislamu Manispaa ya Morogoro wakiwa katika ibada ya swala ya adhuri eneo la kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro jana wakati viongozi wa dini hiyo wakiwa na viongozi wa jeshi la polisi katika tume huru ya jinai iliyounda na makao makuu ya jeshi hilo kuchunguza tukio la kujeruhiwa kwa Sheike Ponda Issa agosti 10 mwaka huu katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege mara baada ya kumalizika kwa kongamano la kidini la idd pili mjini hapa, kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi.Picha Zote na Juma Mtanda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages