Katibu
wa Chama cha Pool Taifa(TAPA),Amos Kawinga(kulia) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu muendelezo wa ratiba ya
mashindano ya Safari Pool Competitions 2013 jijini Dar es Salaam.Kushoto
ni Meneja masoko wa Kampuni ya Bia Tanziania(TBL), Fimbo Butallah
Meneja Masoko wa TBL,Fimbo Butallah akizungumza
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Pool Taifa(TAPA)
leo kimetangaza ratiba ya muendelezo wa mashindano ya mchezo wa Pool
Taifa ngazi ya mikoa unaotarajiwa kuendelea Agosti 23,2013 katika mikoa
iliyobaki yajulikanayo yajulikanayo kama “Safari Lager National Pool
Championships 2013” yanafanyika kwa mwaka wa sita sasa, Safari Lager
imekuwa wadhamini wakuu wa mashindano haya kwa miaka yotesita.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam Katibu
wa Chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga alisema baada ya mapumziko ya
mfungo wa Ramadhani sasa ratiba ya Fainali za mashindano ngazi ya mikoa
tutaendelea na mkoa wa Dar es Salaam ambao unamikoa mitatu ya kimichezo
ambapo 23 Agosti,2013 mikoa yote itaanza fainali zake na Agosti 25,2013
wataanza mkoa wa Temeke kumaliza wakifuatiwa na mkoa wa Ilala
Agosti,311,2013 na mwisho watamalizia Mkoa wa Kinondoni Sepemba 01,2013.
Katibu
alisema fainali za mwaka zilianza juni 27,2013 kwa kushirikisha mikoa
17 na tayari baadhi mikoa imeshamaliza na kupata klabu itayowakilisha
mkoa katika mashndano ya kitaifa Mkoani Morogoro Septemba 08,2013 kama
linavyonyesha jedwali hapo chini;
MKOA
|
KLABU BINGWA
|
MKOA WA LINDI
|
KLABU YA BUS STAND
|
MKOA WA KAGERA
|
KLABU YA BALELE
|
MKOA WA TABORA
|
KLABU YA LORIONDO
|
MKOA WA MWANZA
|
KLABU YA PASEANSI
|
MKOA WA SHINYANGA
|
KLABU YA KING PALACE
|
MKOA WA MOROGORO
|
KLABU YA ANATORY
|
MKOA WA ARUSHA
|
KLABU YA NGARENARO
|
MKOA WA KILIMANJARO
|
KLABU YA MBOSHO
|
MKOA WA TANGA
|
KLABU YA SPIDER
|
MKOA WA
MANYARA
|
KLABU YA SUPERSPORT
|
MKOA WA PWANI
|
KLABU YA YAKWETU
|
TEMEKE-DSM
|
BADO
|
ILALA -DSM
|
BADO
|
KINONDONI-DSM
|
BADO
|
DODOMA
|
BADO
|
IRINGA
|
BADO
|
MBEYA
|
BADO
|
Nae
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Fimbo Butallah alisema
wao wamejipanga vizuri hasa kwenye swala la zawadi kuanzia ngazi ya
Mmkoa hadi Taifa wako vizuri.
Alisema Butallah, “Nia
hasa ya kudhamini mashindano haya ni kuibua vipaji kwa vijana
na kuwasaidia kiuchumi hasa ukizingatia kwamba kwa sasa michezo ni
ajira kama ajira nyinginezo. Mchezo wa pool huandamana pia naburudani
waipatayo wachezaji kutokana na mchezo huo”. Bw. Butallah aliendelea
kusema; “Ukiachilia mbali ongezeko la kipato na burudani, mchezo wa
pool husaidia kuwakutanisha watu mbalimbali kufahamiana kibinafsi na
kibiashara, hujenga afya bora na katika mazingira yetu ya sasa michezo
inamsaidia mtu kutumia muda wake vizuri ili kuepuka mambo mengine
yanayoweza kumsababishia matatizo kama vile kukaa vijiweni, ugomvi nk”.
Safari Lager imekuwa wadhamini wa mchezo wa Pool toka mwaka 2008,
imedhamini mashindano ya ndani na ya nje ya nchi pia. Imedhamini timu ya
Taifa ya mchezo wa Pool kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo wa Pool
nchini Ufaransa mwezi wa kumi mwaka 2010 ambapo timu yetu ilifanya
vizuri.
Aidha Butallah alikumbushia zawadi kwa washindi ukianzia ngazi ya Mkoa hadi Taifa kama ifuatavyo;
ZAWADI -2013
ZAWADI NGAZI YA MIKOA
ZAWADI KWA TIMU
|
KIASI
|
ZAWADI KWA MMOJA MMOJA
|
KIASI (WANAUME)
|
KIASI (WANAWAKE)
|
Bingwa
|
700,000.00
|
Bingwa
|
350,000.00
|
250,000.00
|
Mshindi wa pili
|
350,000.00
|
Mshindi wa pili
|
200,000.00
|
150,000.00
|
Mshindi wa tatu
|
200,000.00
|
Mshindi wa tatu
|
150,000.00
|
100,000.00
|
Mshindi wa nne
|
100,000.00
|
Mshindi wa nne
|
100,000.00
|
50,000.00
|
4 Losses on Q-Finals
|
50,000.00
|
4 Losses on best 8 for men and ladies
|
50,000.00
|
20,000.00
|
8 Losses on best 16 for men
|
20,000.00
|
ZAWADI NGAZI YA FAINALI TAIFA
ZAWADI KWA
TIMU
|
KIASI
|
ZAWADI KWA MMOJA MMOJA
|
KIASI (WANAUME)
|
KIASI (WANAWAKE)
| ||||||||||
Bingwa
|
5,000,000.00
|
Bingwa
|
500,000.00
|
350,000.00
| ||||||||||
Mshindi wa pili
|
2,500,000.00
|
Mshindi wa pili
|
250,000.00
|
200,000.00
| ||||||||||
Mshindi wa tatu
|
1,250,000.00
|
Mshindi wa tatu
|
200,000.00
|
150,000.00
| ||||||||||
Mshindi wa nne
|
750,000.00
|
Mshindi wa nne
|
150,000.00
|
100,000.00
| ||||||||||
4 Losses on 8 Regional’s kila mmoja atapata
|
350,000.00
|
4 Losses on best 8 for men and ladies
|
100,000.00
|
50,000.00
| ||||||||||
8 Losses on 16 Team’s
kila mmoja atapata
|
150,000.00
|
8 Losses on best 16 for men and best 14 for ladies
|
50,000.00
|
30,000.00
| ||||||||||
ZAWADI NYINGINE KWA NGAZI YA TAIFA- MWANZA
| ||||||||||||||
WASHINDI WA TIMU ZA
MIKOA
| ||||||||||||||
MSHINDI
|
KIKOMBE
|
MEDALI
| ||||||||||||
Winners
|
1
|
DHAHABU10
| ||||||||||||
Runner Up
|
-
|
FEDHA 10
| ||||||||||||
No. 3
|
-
|
SHABA 10
| ||||||||||||
No. 4
|
-
|
-
| ||||||||||||
SINGLES- WANAUME NA WANAWAKE
|
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)