Sehemu ya Vijana wa Vyuo Vikuu walioshiriki Kongamano la kujadili Rasimu ya Katiba Mpya na Rasilimali za nchi yetu.
Baadhi ya Mafisa wa Mkoa wa Vyuo Vya Elimu ya Juu CCM wakiwa na mgeni rasmi wa Kongamano,Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo,katika ukumbi wa Riverside,Ubungo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano wakifuatilia kwa makini hotuba ya Profesa Muhongo alipokuwa akichambua masuala ya gesi na uchumi.
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbali mbali nchini wakichukua habari za Kongamano la Kujadili rasimu ya Katiba mpya na rasilimali lililofanyika katika ukumbi wa Riverside Ubungo, ambalo liliratibiwa na Mkoa wa Vyuo Vya Elimu ya Juu CCM tarehe 5 Agosti 2013.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)