
Mchungaji Usharika wa Segerea wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Noah Kipingu akionyesha
sehemu ya madhabahu ya kanisa hilo, iliyoungua moto baada ya kurushiwa
vitu vinayosadikiwa kuwa ni mabomu ya petroli na watu wasiojulikana
usiku wa kuamkia jana.Picha na Salim Shao.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)