GENN REDIO INAWALETEA KIPINDI KIPYA CHA ''Bongo Views'' KUTOKA KWA WATANZANIA WAISHIO KANSAS CITY - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

GENN REDIO INAWALETEA KIPINDI KIPYA CHA ''Bongo Views'' KUTOKA KWA WATANZANIA WAISHIO KANSAS CITY

Photo
Muendesha wa kipindi cha Bongo Views Joshua Kijo Simon Madelkeka walioendelea kujadili  Mjadala kuhusu Mjadala kuhusu uraia wa nchi mblili.na mambo mengi kuhusu mstakabaliwa nchi yetu, wakiwa ndani ya Studia ya Global Entertainment and News Network (GENN)
Photo: BONGO VIEWS: ANDY MKINGA and BAVON
Wachangiaji kipindi  kushoto Mjombo Andrew Mkinga,  akiwa na Anko Bavon Mwakasungula, wakijadili Mjadala kuhusu uraia wa nchi mblili na mambo mengi kuhusu mstakabaliwa nchi yetu, wakiwa ndani ya Studia ya Global Entertainment and News Network (GENN)
 
Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, inawaletea kipindi  kipya cha BONGO VIEWS kitakacho endeshwa LIVE kila Jumamosi  midaa ya Saa 5 PM za Marekani ya kati 6: PM Jioni EST na kwa saa za nyumbani Tanzania  ni Saa 1: AM (Yani Saba Usiku) kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea HAPA Global Entertainment and News Network (GENN)

Kipindi cha Bongo Views  kitaendele  tena hewani LIVE wiki hii, siku ya Jumamosi Aug 24, 2013  MIDA ya Saa 5: PM  kwa Saa za Marekani ya kati.  Saa 6:PM jioni kwa Saa za EST US.  Na Tanzania Saa 1:AM Usiku kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea. HAPA Global Entertainment and News Network (GENN). Mhadala utakua kuhusu Madawa ya kulivya, Nchini kwa kuchangia njia ya simu piga simu number  (913) 662-1190

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages