Karudi: Jose Mourinho akionesha ishara ya busu kwa mashabiki wa Chelsea waliofurika Stamford Bridge
Raha tupu: Oscar alifunga bao la kwanza katika dakika ya 13
Kikosi
cha Chelsea leo: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Lampard, Ramires,
De Bruyne (Schurrle 67), Oscar (van Ginkel 85), Hazard, Torres (Lukaku
75)
Subs not used: Essien, Mata, Ba, Schwarzer
Goals: Oscar 13, Lampard 25
Kikosi cha Hull City: McGregor, Elmohamady, Chester, Davies, Figueroa, Brady, Meyler (Huddlestone 59), Koren, Sagbo, Graham (Livermore 59), Aluko (Boyd 79)
wachezaji wa akiba: Rosenior, Bruce, McShane, Harper
Kadi: Meyler
Mashabiki: 41,374
mwamuzi: Jon Moss
Subs not used: Essien, Mata, Ba, Schwarzer
Goals: Oscar 13, Lampard 25
Kikosi cha Hull City: McGregor, Elmohamady, Chester, Davies, Figueroa, Brady, Meyler (Huddlestone 59), Koren, Sagbo, Graham (Livermore 59), Aluko (Boyd 79)
wachezaji wa akiba: Rosenior, Bruce, McShane, Harper
Kadi: Meyler
Mashabiki: 41,374
mwamuzi: Jon Moss
Oscar akishangilia bao lake
Amekosa: Frank Lampard akiangalia jinsi mkwaju wake ulivyookolewa na kipa McGregor
Mechi nyingine iliwakutanisha
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
KOCHA
wa Chelsea , Mreno, Jose Mourinho ameanza kwa kishindo Stamford Bridge
tangu arejea kwa mara ya pili baaada ya kuibuka na ushindi wa mabao
2-0 dhidi ya timu mpya ya ligi kuu soka nchini England, Hull City.
Ikiwa
imepita takribani miaka sita tangu aondoke darajani na kurejea majira
haya ya kiangazi, leo hii Mourinho alianza kibarua katika dimba la
nyumbani na kushangiliwa na mashabiki lukuki wanaomuunga mkono kwa
asilimia mia moja.
Katika
mchezo huo, kiungo mkongwe wa Chelsea, Frank Lampard alikosa mkwaju wa
penati dakika ya sita baada ya kipa wa Hull, Allan McGregor kuokoa na
baada ya hapo kipa huyo aliokoa tena mpira wa kichwa uliozamishwa na
Branislav Ivanovic , lakini teknolojia ya goli iligoma na kuwaambia
Chelsea sio goli.
Bao
la kwanza la Chelsea lilifungwa na Oscar katika dakika ya 13 akipokea
pasi ya mwisho kutoka kwa Kevin de Bruyne, na bao la pili limefungwa na
Frank Lampard dakika ya 25 na kufuta makosa ya kukosa penati.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)