CHELSEA NA AS ROMA, RFK STADIUM, WASHINGTON, DC KATIKA PICHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

CHELSEA NA AS ROMA, RFK STADIUM, WASHINGTON, DC KATIKA PICHA

IMG_6574
Chelsea FC ya Uingereza Jumamosi Aug 10, 2013 ndani ya jiji la watunga sheria (Washington, DC) kwenye uwanja wa RFK iliibanjua timu ya AS Roma ya Italia kwa bao 2-1 mpaka mapunziko AS Roma walikua mbele ya bao 1-0 bao lililotokana na Mikel Obi mchezaji wa Chelsea alipomrudishia kipa wake na kipa akaukosea kuupiga na mpira ukagonga posti na ukarudi uwanjani na kukutana na mfungaji wa AS Roma ambaye hakufanya makosa kuutumbukiza kimyami. Picha ni wachezaji wa timu zaote mbili wakiingia uwanjani.
IMG_6576
Timu zikijipanga tayari kwa wimbo wa taifa
IMG_6585
Juu na chini ni taswira mbalimbali la pambano la Chelsea FC na AS Roma
IMG_6589
IMG_6592
IMG_6600
IMG_6584
IMG_6590
IMG_6598
IMG_6593
IMG_6607

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages