BENDI YA MSONDO NGOMA ILIVYO PAGAWISHI WAPENZI WAKE SIKUKUU YA IDDI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

BENDI YA MSONDO NGOMA ILIVYO PAGAWISHI WAPENZI WAKE SIKUKUU YA IDDI

IMG_8123
Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa onesho lao la Iddi lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam kushoto ni Eddo Sanga na Hasani Moshi
IMG_8120
IMG_8122
Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa onesho lao la Iddi lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam kushoto ni Eddo Sanga na Hasani Moshi
IMG_8125
Wapuliza hara wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa sikukuu ya idi kushoto ni Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande 
IMG_8129
Saddy Ally akiwajibika wakati wa Onesho hilo.Picha na SUPER D

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages