BAADA YA KUANZA LIGI KWA KICHAPO ARSENAL WATUMA OFA YA £10M KWA NEWCASTLE KWA AJILI YA CABAYE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BAADA YA KUANZA LIGI KWA KICHAPO ARSENAL WATUMA OFA YA £10M KWA NEWCASTLE KWA AJILI YA CABAYE

Arsenal wametuma rasmi ofa ya £10m kwa Newcastle kwa ajili ya kiungo Yohan Cabaye, kwa mujibu wa shirika la utangazaji wa Uingereza BBC. Mpaka sasa Newcastle hawajaikataa rasmi ofa hiyo kwa ajili ya kiungo huyo mwenye miaka 27, lakini inaaminika wataikataa ofa hiyo ikizingatiwa PSG walitoa ofa ya kiasi kinachokaribiana na hicho. 
Arsenal, ambao walifungwa mechi yao ya ufunguzi wa ligi 3-1 na Aston Villa, wameshindwa kukataa wala kukubali kuhusiana na ofa hiyo ya Cabaye. 
Gunners wamekumbwa na mkosi wa majeruhi ya viungo wake tegemeo  Mikel Arteta na Abou Diaby. Credit: SHAFFIH DAUDA BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages