Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Asindikiza Mfalme Mswati wa Swaziland baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1,2013. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Asindikiza Mfalme Mswati wa Swaziland baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1,2013.

IMG_6128
 Mfalme Mswati wa Swaziland  akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka  kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam  kurejea nyumbani baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere  Julai 1,2013.
IMG_6186
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland  ambaye aliondoka nchini baada ya kufungua maonyesho ya Kiataifa ya Biashara  kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai  1, 2013.
IMG_6192
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland  ambaye aliondoka nchini baada ya kufungua maonyesho ya Kiataifa ya Biashara  kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai  1, 2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages