WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUATANA NA MFALME MUSWATI WA SWAZILAND KATIKA KUFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUATANA NA MFALME MUSWATI WA SWAZILAND KATIKA KUFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu , Mizengo  Pinda akimwongoza Mfalme Muswati  wa Swaziland kutembelea abanda ya maonyesho baada ya mfalme huyo kufungua maoinyesho ya kimataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013.
Mfalme Muswati wa Swazilanda (kulia) na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda wakitazama dawa za aina mbali mbali wakati walipotembelea banda la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages