Pages

Washindi watatu wa Tigo "Miliki Biashara Yako" ibuka na Bajaji wapatikana


Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga (kulia) akizungumza na mmoja wa washindi watatu wa "Miliki Biashara Yako" katika droo ya kwanza ya promosheni hiyo mapema jana. Katikati ni Bi. Chiku Saleh, Mkaguzi kutoka shirika la Bahati Nasibu Tanzania na Husni Seif, Meneja Bidhaa wa Tigo.
Aina ya Bajaji yenye thamani ya Tsh 6,700,000 ambayo wateja wa Tigo walijishindia jana. Wateja hao ni Mohamed Ramadhani Mnjori (39) muuza nguo za mitumba, mkazi wa Ilala - Dar es Salaam, Riziki Luzas Kisemo (36) mjasiriamali, mkazi wa Makabe - Dar es Salaam na Adam Saidi Kalulu (36) mkulima, mkazi wa Kiluvya.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Meneja Chapa a Tigo, William Mpinga, akizungumza na Waandishi wa Habari katika droo ya Miliki Biashara Yako iliyofanyika jana. Anayeonekana meza kuu pia ni Husni Seif, Meneja Bidhaa wa Tigo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)