WADAU WA HAKI ZA WANYAMA HUU NDO UBEBAJI SAHIHI WA WANYAMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WADAU WA HAKI ZA WANYAMA HUU NDO UBEBAJI SAHIHI WA WANYAMA

Kamera ya Lukaza blog jana iliweza kunasa taswira hii ambayo gari aina ya suzuki carry aka Asha Ngedere kama wengi wanavyoziita ikiwa imebeba ng'ombe hai akipelekwa machinjioni lakini Ubebwaji wake haukuwa mzuri kabisa huku wakiwa wamemfunga Kamba na kumlaza chini huku wakimkanyaga Shingoni. Je ni sawa kwa mnyama huyu Kubebwa hivyo? Wadau wa haki za Wanyama Mpo?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages