Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK.
Ukiwa
kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili
kufanikisha maziko ya Binti Yetu Mpendwa, Ambayo Yamepangwa Kufanyika
IJUMAA TAREHE 26 July 2013. Gharama za maziko ni £3000 tunaomba chochote
ulichonacho ilikufanikisha maziko haya. Michango yote inwekee kwenye
account ya
MR A ALFAGHEE
Sort 09-01-27
Account Number 11832254
Santander.
Asanteni Kwa Ushirikiano Wenu
R.I.P MAIMUNA FATMA KARUMBA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)