Juma Shoka Salumu Dilunga Kushoto akicheza mchezo wa bao na Salumu Dilunga wakati walipokuwa maeneo ya Changamoto Mkoa wa Tabora jana mchezo huo uliozoeleka kuchezwa mikoa ya pwani imeleta chachu kubwa kwa wakazi wa mkoa wa Tabora picha na blog ya SUPER D
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)