All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
TEKNOLOJIA YA NDEGE ZISIZOKUWA NA RUBANI KUWAOKOA JWTZ NCHINI KONGO KUPAMBANA NA M23
An X-47B drone combat aircraft lands on the deck of the USS George H.W. Bush aircraft carrier. Photo: AP
Hizi ni baadhi ya Picha Za Ndege zisizokuwa na Rubani ambazo Jeshi la Marekani linazitumia katika Operesheni zake katika Vita Tofauti tofauti.Ndege hizi ndio ndege ambazo zitatolewa kuwaisaidia Wanajeshi wa Tanzania Nchini Kongo Kupambana na Waasi. Hii ni teknolojia mpya kwa nchi za Dunia ya Tatu wakati Nchi za Dunia ya Kwanza ni teknolijia iliyopo sasa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)