Pages

SWAHILI TV MTAANI KUNANI

   Kwa matukio ya Swahili TV mtaani kunani tembelea www.swahilitv.blogspot.com

Na Alex Kassuwi

Kwa wanakijiji wenzangu, miaka 30 iliyopita nisingeliweza kuamini ninayo yaona na kuishi hivi sasa. Kwa kifupi tuliona wakija kijijini kama mapadri, wataalamu wa mashirika toka nje ama walimu. Nilijenga imani kila mzungu ni msomi na tajiri. Nilipohamia ughaibuni nimekuta ni tofauti sana, wapo wazungu wengi mbumbumbu na wanabangaiza tu.

Ushauri kwa dada zangu wanaowinda kuolewa na wazungu "kila king'aacho sio dhahabu"

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)