Pages

SUPER D ATOA DVD NYINGINE TATU MPYA, TYSON VS HOLYFIELD NDANI

DVD hizi kwa sasa zinapatikana katika makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi au unaweza kuzipata jengo la Azam lililopo mtaa wa Msimbazi karibu na kituo cha Polisi Post Gelezani wasiliana na kocha kwa simu 0713406938 ili uweze kupata dvd hizo kwa ajili ya kujifunza zaidi mchezo huo

DVD zina mabondia wakari wanaotamba Duniani kama vile Mike Tyson, Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali 
na wengine wengi 

Super D aliongeza pia anakaribisha vijana kuja kujiunga katika mchezo huo kwani mbali ya kukujengea uwezo wa kujiamini pia unajijenga ki Afya na Kimwili

DVD YA MPAMBANO MKALI ULIOWAKUTANISHA BONDIA FELIX TRINIDAD VS ROY JONES JR MPAMBANO HUU UTANGALIA URUDIA NA KURUDIA TENA KWA WAPENZI WA MCHEZO HUU KWANI WOTE WAMEKUTANA MAFUNDI WA UJUZI WA MCHEZO WA MASUMBWI ZAIDI TEMBELEA BLOG YA  SUPER D Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akitoa maelekezo kwa mashabiki wa ngumi jinsi DVD zake zilizo na mafunzo ya mchezo huo kwa mashabiki kujua sheria na kanuni za mchezo huo  ZAIDI TEMBELEA BLOG YA  SUPER D

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)