Pages

JUST IN:SAID MOHAMED MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE NDIYE MFANYABIASHARA MAARUFU ALIYEMWAGIWA TINDIKALI.

Hapo ndipo inaposemekana tukio la kumwagiwa Tindikali lilitokea
Hapo awali tulireport kuhusu mfanyabiashara maarufu jijini Dar amwagiwa Tindikali ambapo habari hizo zinadai mfanyabiashara huyo kamwagiwa Tindikali maeneo ya Msasani City Mall muda wa saa 2.

Updates zaidi zinzendelea kututonya kwamba tukio hilo lilitokea jirani na Ubalozi wa Marekani na jirani kabisa na Police Oysterbay.

Mthumiwa aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio.

Said amelazwa Trauma (AMI) Hosp - Masaki.

Source: Jamii Forum

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)