Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(kulia) pamoja na
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Thailand, Mhe. Sura Pong Tovichakehaikul (kushoto) wakisaini Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati
ya Tanzania na Thailand.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(wa tatu
kushoto) akiwa pamoja na Viongozi wengine Waandamizi wa Serikali ya
Tanzania na Thailand wakishuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa
kubadilishana Wafungwa kati ya Serikali ya Tanzania na Thailand leo
Julai 30, 2013 Ikulu, Jijini Dar es Salaam
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto)
akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Stephen Masele
walipokutana leo Julai 30, 2013 Ikulu, Jijini Dar es Salaam kushuhudia
kusainiwa kwa Mkataba wa kubadilishana Wafungwa kati ya Serikali ya
Tanzania na Thailand(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)