Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu, Dar es salaam na baadaye akaongea na wanahabari.
Raisi Barack Obama wa Marekani na Raisi Kikwete wa Tanzania wakijibu baadhi ya Maswali kutoka Kwa waandishi wa habari waliohudhuria mkutano uliofanywa na Raisi Obama na Kikwete Mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar leo Mchana
Rais Kikwete akiwa ameambatana na mgeni wake,Rais wa Marekani,Barack Obama,wakati wakielekea kuzungumza na wanahabari Ikulu,jioni ya leo. Picha na Ikulu/Issa Michuzi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)