Paulinho katika Mechi ya Kombe la Mabara
Mchezaji wa Kimataifa wa Brazili Paulinho amethibitisha Kuondoka katika Klabu yake na kuhamia Katika Klabu ya Tottenham ya Jiji Uingereza baada ya kumalizika kwa fainali za Kombe la Mabara iliyochezwa Jumapili ya tarehe 30 juni 2013.
Vilevile Paulinho alikua akiwindwa na Klabu ya Inter Millan ya Italy lakini akafanikisha dili la kuhamia katika Klabu ya Tottenham hotspur ya Uingereza.
Wakati walifanya mkutano na waandishi wa habari Alisema "alipokea ofa kutoka katika klabu ya Inter Millan ya Italy lakini Chaguo langu ni kwenda katika klabu ya Tottenham Hotspur"
Paulinho alichukua fursa hiyo wakati akiongea na waandishi wa habari kuwashukuru mashabaiki wa Corithians kwa sapoti kubwa waliyompa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)