MTUHUMIWA WA WIZI ANUSURIKA KUFA KWA KIPIGO CHA WANANCHI KAWE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

MTUHUMIWA WA WIZI ANUSURIKA KUFA KWA KIPIGO CHA WANANCHI KAWE


1.Akisulubiwa+kwa+bakora+na+mmoja+wa+watu+wenye+hasira
 Akisulubiwa kwa bakora na mmoja wa watu wenye hasira.
MTU mmoja aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi amenusurika kufa baada ya kundi la  wananchi kumpa kipigo cha maana, leo mchana katika eneo la
Mbezi-Darajani, Kawe mjini Dar es Salaam. Mtu huyo ambaye jina lake
halikueza kupatikana mara moja inadaiwa alikutwa akiruka geti kuingia
ndani kwenye nyumba ya mkazi moja wa eneo hilo. Picha zifuatazo ni
baadhi ya matukio wakati mtuhumiwa huyo alipokuwa akipata kichapo hicho.
 
2.+Akisulubiwa+kwa+bakora+na+mmoja+wa+wananchi+hao+wenye+hasira
 Akisulubiwa kwa bakora na mmoja wa wananchi hao wenye hasira.
3.+Mtuhumiwa+wa+wizi+akiomba+kusamehewa+wakati+mtu+mwenye+hasira+akijiandaa+kumtupia+tofali+kichwani+ambalo+lilimjeruhi+vibaya+mtuhumiwa+huyo
 Mtuhumiwa
wa wizi akiomba kusamehewa wakati mtu mwenye hasira akijiandaa kumtupia
tofali kichwani ambalo lilimjeruhi vibaya mtuhumiwa huyo
4..+Akiendelea+kuslubiwa+wakati+wakipelekwa+polisi
 Akiendelea kuslubiwa wakati wakipelekwa polisi.
5.Mwenye+hasira+akimsulubu+mtuhumiwa+huyo+kwa+kumtandika+teke
 Mwenye hasira akimsulubu mtuhumiwa huyo kwa kumtandika teke.
7.+Lakini+kutokana+na+kipigo+ataanguka+hadi+hatua+iliyofanya+watu+hao+wenye+hasira+kutawanyika+eneo+la+tukio,+wakidhani+mtuhumiwa+amekufa.+PICHA+ZOTE+NA+BASHIR+NKOROMO
Lakini kutokana na kipigo akaanguka hadi hatua iliyofanya watu hao wenye
hasira kutawanyika eneo la tukio, wakidhani mtuhumiwa amekufa. PICHA
ZOTE NA BASHIR NKOROMO.
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages