Pages

MKAZI WA MOROGORO BI BLANCA MALITI AIBUKA MSHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA NA USHINDE INAYOENDESHWA NA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI

 Mshindi wa shilingi milioni moja wa shindani la Winda na Ushinde Bi. Blanca Maliti (katikati) mkazi wa mjini Morogoro akikabidhiwa mfano wa hundi na Meneja wa Mauzo wa Serengeti Breweries kanda ya kati Octavian Migire, kushoto kwake ni mama mdogo wa Blanca, Mwalimu Theresia Masashua kutoka Turiani, Bianca ni mshindi wa tatu kujishindia shilingi milioni moja katika promosheni hiyo ya Winda na Ushinde inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.
Mshindi wa shilingi milioni moja wa shindani la Winda na Ushinde Bi. Blanca Maliti (katikati) mkazi wa mjini Morogoro akikabidhiwa mfano wa hundi na Meneja wa Mauzo wa Serengeti Breweries kanda ya kati Octavian Migire, Kulia kwake ni mama mdogo wa Blanca, Mwalimu Theresia Masashua kutoka Turiani, na James ambaye ni meneja wa mauzo SBL wa mkoa wa Morogoro, Bianca ni mshindi wa tatu kujishindia shilingi milioni moja katika promosheni hiyo ya Winda na Ushinde inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.
Mshindi wa shilingi milioni moja wa shindani la Winda na Ushinde Bi. Blanca Maliti (katikati) mkazi wa mjini Morogoro akifurahia mfano wa hundi pamoja na familia yake baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Mauzo wa Serengeti Breweries kanda ya kati Octavian Migire, kushoto kwake ni mama mdogo wa Blanca, Mwalimu Theresia Masashua kutoka Turiani, na Dada yake. Bianca ni mshindi wa tatu kujishindia shilingi milioni moja katika promosheni hiyo ya Winda na Ushinde inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)