Miili ya Wanajeshi wa JWTZ Waliouwawa Darfur Yapokelewa Dar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Miili ya Wanajeshi wa JWTZ Waliouwawa Darfur Yapokelewa Dar

Ndege iliyoileta miili ya wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur ikiwasili eneo la Jeshi katika Uwanja wa Kimataifa wa Julias Nyerere
Baadhi ya askari wa JWTZ wakibeba miili ya wanajeshi wenzao waliouwawa Darfur kuiingiza kwenye magari maalum kabla ya kuondolewa katika uwanja wa jeshi.
Baadhi ya askari wa JWTZ wakibeba miili ya wanajeshi wenzao waliouwawa Darfur kuiingiza kwenye magari maalum kabla ya kuondolewa katika uwanja wa jeshi.
Baadhi ya askari wa JWTZ wakifunika majeneza ya askari hao kwa bendera ya taifa mara baada ya kushushwa kwenye ndege maalum
Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal akiongoza viongozi mbalimbali na maofisa wa jeshi la JWTZ, Jeshi la Polisi na wengine mbalimbali kupokea miili hiyo
Baadhi ya wanajeshi na wahudumu wa ndege wakishusha miili ya wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur hivi karibuni.
Baadhi ya maofisa wa JWTZ na maofisa wa UN waliosindikiza miili ya wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur wakishuka kwenye ndege

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages