MENEJA MPYA WA MAN U MOYES KUONGEA NA ROONEY JUMATANO HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MENEJA MPYA WA MAN U MOYES KUONGEA NA ROONEY JUMATANO HII

David Moyes Meneja Mpya wa Manchester United akiwa katika ofisi yake 

Meneja Mpya wa Manchester United David Moyes ameanza rasmi kibarua chake cha kukiona kikosi Cha Mabingwa kwa Ligi kuu ya England Manchester United baada ya Kocha wake wa Zamani wa Kikosi Hiko Sir Alex Ferguson Kustaafu rasmi kukinoa Kikosi hiko.

Bosi huyo Wa Zamani wa Everton David Moyes anatarajia kutatua swala zima la Mchezaji Rooney ambaye inasemekana anataka kuondoka Manchester United na kuelekea Arsenal kutokana na Kutoelewana Na Meneja Mpya huyo Wa Mashetani Wekundu kipindi akiwa Everton.

Japokuwa Menejimenti ya Manchester united imesema kuwa hawatomuuza Rooney na hatimaye Meneja Mpya David Moyes Anatarajia Kuonana na Mchezaji wa England Wayne Rooney Jumatano hii.

Meneja david Moyes anahitaji Wiki Nzima kwaajili ya Kujiandaa kabla hajaanza kibarua chake rasmi kabla Dirisha La Ligi Kuu ya Uingereza Kuanza.

Mnamo tarehe 13 July 2013 David Moyes anatarajia kuanza kibarua chake cha Kwanza Ambapo Kikosi cha Mashetani wenkundu Kitapambana na Kikosi cha Mastaa wa Singha mbele ya watazamaji wapatao 48,000 katika dimba la Rajamangala mjini Bangkok.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages