Aliyekuwa mgombea UWT Taifa, Maryrose Magige akionyesha kadi ya Chadema
aliyokabidhiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Wilbrod Slaa wakati wa
mkutano wa hadhara ulifanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Ukombozi
Manzese Dar es Salaam jana. Picha na Salim Shao
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)