Pages

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFANYA ZIARA YA KUKAGUA SHUGHULI ZA USAFI WA MAZINGIRA MKOA WA DAR ES SALAAM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Viongozi wa Kata ya Ukonga kuhusu usafi wa mitaro ya maji machafu, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Soko la vyakula la Buguruni, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Matango katika Soko la Buguruni, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kutembelea Bwawa la maji machafu Buguruni wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia Mtaro wa maji machafu uliopo Mayfear Plaza Mikocheni wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mmoja wa Wakazi wa Msasani baada ya kutembelea kuona Mitaro ya maji machafu ya eneo hilo, wakati alipokuwa kwenye ziara yake kutembelea na kukagua shughuli za usafi Mkoa wa Dar es Salaam leo Julai 21, 2013. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)