Bwn. Robert Otto ambae ni Mkurugenzi wa kituo cha Global Entertainment and News Network (GENN) kiliyopo Kansas City nchini Marekani.
Dada D ni mtangazaji wa kituo cha Global Entertainment and News Network (GENN) kiliyopo Kansas City nchini Marekani.
Vile vile Dada D Show ni kipindi kinachokwenda hewani kila Jumamosi Mida ya Saa 8:00 PM Est Time kwenye vionjo na vibwagizo Mchanganyiko wa mahusiano ya Mapenzi ndani ndoa, Mahaba, maelewano na malezi ya watoto kwa familia na kufunzani zaidi ndani ya Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Jijini Kansas City.
Mtangaziji AJ wa kipindi cha kuamshana na asubuhi njeema ndani ya Global Entertainment and News Network (GENN) kiliyopo Kansas City nchini Marekani.Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)
Katika beti hii tunawakaribisha sana katika Mahojiano haya baina ya Jamii Production na wadau wakuu wa Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani.
Katika mahojiano haya, utasikia Mkurugenzi wa kituo Bwn. Robert Otto na watangazaji AJ na Dada D wakizungumzia harakati zao kwenye kituo hiki kipya cha Radio
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)