MABASI MAWILI YA RS NA NBS KUTOKA BUKOBA YATEKWA LEO BIHARAMULO
MABASI
YATEKWA:
Mabasi mawili ya kampuni za RS na NBS yakitokea Bukoba kwenda
Dar alfajiri ya leo yametekwa eneo la Biharamulo, abiria wameporwa mali
na fedha.
Majambazi yamempora askari msindikizaji Bunduki Aina ya SMG
namba 14302551 kwenye tukio hilo; Kamanda Philip Kalangi (RPC)
kathibitisha.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)