Pages

KAMERA YANGU DOT COM IPO NJIANI

Baada ya kuwepo hewani tangia mwaka 2007, blog ya Kamerayangu kubadilika karibuni na kuitwa kamerayangu.com.

Pamoja na habari mbali mbali pia itakuwa inawapatia kazi mbali mbali ambazo zinafanywa na blog hii ikiwa pamoja na kutambulishwa kwa Online TV.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)