Pages

HATIMAYE STEVAN JOVETIC ATUA RASMI KWA MAN CITY TAYARI KUUNGANA NA ALVARO NEGREDO KUONGOZA MASHAMBULIZI MSIMU UJAO

Talented: The arrival of Stevan Jovetic will significantly strengthen Manchester City's attacking optionsKipaji cha kweli: Kufika kwa  Stevan Jovetic kutaongeza makali ya safu ya ushambuliaji ya Manchester City 
Done deal: Alvaro Negredo with his City number nine shirt after completing his move from Sevilla Uhamisho umekamilika: Alvaro Negredo amesainishwa na City na kupewa jezi namba tisa
Welcome to Manchester: Montenegrin striker Jovetic arrives at a Manchester hotel on Thursday night
Welcome to Manchester: Montenegrin striker Jovetic arrives at a Manchester hotel on Thursday night
Karibu Manchester: Mshambuliaji raia wa Montenegrin, Jovetic akiwasili katika Hoteli ya Manchester jana usiku
Striking it rich: New signing from Sevilla Alvaro Negredo also checked into the hotel on Thursday nightMchezaji mwingine mpya kutoka Sevilla, Alvaro Negredo aliingia katika hoteli hiyo usiku wa jana 
Sign here: Negredo with City sporting director Txiki Begiristain (left) and his agent as he signs the contractMwaga wino hapa: Negredo akiwa na mkurugenzi wa michezo wa City , Txiki Begiristain (kushoto) na wakala wake  wakati wa kusaini mkataba  
Cool: The frontman will compete with Negredo, Sergio Aguero and Edin Dzeko for a starting spot
Haina noma, barida tu!:  Nyota huyo atapambana kutafuta namba pamoja na Negredo, Sergio Aguero na  Edin Dzeko 
Already settled? Jovetic's arrival will ensure City are expected to challenge for the title
Tayari ametulia zake:  Jovetic amewasili katika klabu mpya ya City na sasa kilichobaki ni kushindana kupata nafasi kikosi cha kwanza
 
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com

“Negredo, Sergio Aguero na  Edin Dzeko ,Stevan Jovetic”. Washambuliaji hao wote wana viwango vya juu, sasa swali ni moja, nani kuwa chaguo namba moja kwa kocha mpya wa City, Manuel Pellegrini?.

Miamba ya soka nchini England na wenye jeuri ya pesa, klabu ya Manchester City imethibitisha kumsaini mshambuliaji hatari Stevan Jovetic kutoka Fiorentina kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 25.8 baada ya mwanandinga huyo wa kimataifa wa Montenegro kufuzu vipimo vya afya katika dimba maridhawa la Etihad. 

Inaeleweka kuwa City watalipa kiasi cha Pauni Milioni 22.4 na ada itapanda kutokana na kukua kwa malipo ya posho ya nyota huyo mwenye uwezo mkubwa wa kucheka na nyavu. Pia Uhamisho wa nyota mwingine ,  Alvaro Negredo  umethibitishwa, huku  akikabidhiwa  jezi namba tisa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)