JUST IN: MAGUFULI SASA AANZA KUTEKELEZA AHADI YA KUBOMOA MAJENGO: AANZA NA JENGO LA BUSINES PARK (GREEN ACRES) LA VICTORIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

JUST IN: MAGUFULI SASA AANZA KUTEKELEZA AHADI YA KUBOMOA MAJENGO: AANZA NA JENGO LA BUSINES PARK (GREEN ACRES) LA VICTORIA

 Baada Waziri wa Ujenzi, Pombe Magufuli kutoa maagizo kwa wenye majengo yaliyo pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi, kubomoa wenyewe majengo yao ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo, kuonekana yakisua sua, hatimaye leo ameanza rasmi kazi ya kubomoa kwa Greda katika majengo ya wale walioonekana kukaidi agizo hilo. Katika kutekeleza agizo hilo zoezi hilo limeanzia kwenye Jengo la Business Park (Green Acres) lililopo eneo la Victoria ambapo hadi hivi sasa zoezi hilo bado linaendelea pande hizo chini ya usimamizi ya Askari wakishirikiana na Watu wanaoonekna kuwa ni wa Majembe.
 Msongamano pande hizo.....
 Tayari ukuta ukiwa umeshashushwa chini wa upande wa barabarani. huku baadhi ya watu wanaofanya shughuli zao katika jengo hilo wakihaha kuhamisha baadhi ya vifaa.
 Wakati likianza zoezi hilo ndani walikuwapo watu wanaoendesha shughuli zao katika jengo hilo.Kwa Picha Zaidi na Chanzo BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages