DK.Shein atembelea maonesho ya SABA SABA Leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DK.Shein atembelea maonesho ya SABA SABA Leo

IMG_2403Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Leila Issa Ali,katika mabanda ya washiriki wa maonesho ya sabasaba alipotembelea leo  jijini Dar es Salaam, (katikati) Waziri wa  Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages