CHELSEA NA PSG YAMGOMBANIA EDINSON CAVAN KUTAKA KUMSAJILI KATIKA MSIMU UJAO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

CHELSEA NA PSG YAMGOMBANIA EDINSON CAVAN KUTAKA KUMSAJILI KATIKA MSIMU UJAO

Edinson Cavan kiungo wa Napoli.

Timu ya Chelsea ya Uingereza na PSG ya ujerumani zinagombania kutaka kupata saini ya Mchezaji mahiri wa timu ya Napori  Edinson Cavan ili kuweza kuungana nae katika Msimu ujao wa ligi kuu na ligi za kimataifa hapo baadae.

Klabu hizo zote mbili zimekuwa katika mvutano wa kutaka kumsajili kiungo huyo wa Napoli Edinson Cavani mwenye umri wa Miaka 26 ambaye alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Series A kwa kuibuka na Magoli 29 hadi mwisho wa msimu japokuwa  Uongozi wa Timu hiyo ya Napoli Uekataa Kumuuza mchezaji huyo.

Aliyekuwa Meneja wa Zamani wa Chelsa na ambaye pia amepata tena shavu la kuinoa timu hiyo ya Chelsea aka the Blues Jose Mourihno aliweka mkakati wa kuonana na uongozi wa timu ya Napoli Mapema Jumanne.

Raisi wa Klabu hiyo ya Napoli Aurelio De Laurentiis alikataa kutaka kumuuza mchezaji japokuwa aliiambia shirika la utangazaji wa habari za michezo la Skysport kuwa Kwa yeyote anayemtaka Edinson Cavani alete Euro Milioni 63 kamili pungufu ya hapo hatomuuza Cavani kwasababu Napoli ni Timu tajiri duniani na hawaoni sababu ya Kumuuza Mchezaji yeyote yule kwasababu hawana tatizo la kipesa.Akaongezea kwa kusema kuwa tutafurahi zaidi kama tutaendelea kumtunza Edinson Cavani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages