Msanii na Mtangazaji maarufu Vanessa Mdee akiwa katika
Tigo Celeb Twitter Live Chat kwenye ukurasa wa Tigo. Pembeni yake ni George Katoto -
Mtalaamu wa Mitandao ya Kijamii (katikati) na Silvanus Makoko Afisa Msaidizi kutoka huduma kwa wateja Tigo.
Vanessa Mdee akipata maelekezo kutoka kwa
Athanasius Muhanuzi - Meneja wa Mitandao ya Kijamii kutoka Squad Digital. Kutoka
kushoto ni Amani Nkurlu Meneja Mawasiliano wa Tigo, George Katoto Mtalaamu wa
Mitandao ya Kijamii na Silvanus Makoko Afisa Msaidizi kutoka huduma kwa wateja Tigo.
Vanessa
akifurahia swali aliloulizwa kupitia Tigo Celeb Twitter Live Chat.
Vanessa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
Tigo.
Vanessa “aki-smile na Tigo” baada ya kumaliza
kujibu maswali ya washabiki katika Tigo Celeb Twitter Live Chat ambayo inafanyika
mara moja kila mwezi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)