Kamati ya msiba tutaanaomba kutoa taarifa kwamba mwili wa marehemu ndugu yetu Albert Mangea hautafika siku ya jumapili ya tarehe 02/06/2013 kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali, hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu.
Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wenzetu na wawakilishi wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara tutakapopata taarifa hizo tutawafahafahamisha zaidi. Tunaomba radhi kwawatanzania wote kwa usumbufu wote uliojitokeza tushirikiane na tuwe na uvumilivu kwa hili
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)