Banda la Wazee wa Fiber aka Mtandao aka TTCL ndani ya viwanja vya Sabasaba
Menu time hapa ni sehemu mojawapo ndani ya viwanja hivyo
Banda la Maliasili na Utalii likirekebishwa tayari kwa wakazi wa jiji kuja kucheki wanyama
Chumba Cha Dharura kikipakwa rangi
Serengeti lager..
Mananasi yakiwa tayari
Mafundi wakiendelea na ujenzi
Nanasi ikipandwa hapo ndani ya Viwanja vya Sabasaba
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)