Waziri
wa Nchi ya Ofisi ya Waziri mkuu (Sera,Utaratibu na Bunge)William Lukuvi
akipata maelezo kutoka kwa ofisa wa benki ya NMB Diana Kimaro mara
alipotembelea banda la NMB katika maonyesho yanayoendelea kwenye viwanja
vya Bunge.
Mbunge
wa viti maalum, Mh. Zainabu Vulu akipata maelezo kutoka kwa Meneja
Huduma za Ziada, Alluthe Nungu wakati walipotembelea banda la NMB.
Baadhi ya maofisa wa benki ya NMB waliopo kwenye maonyesho ya taasisi za kifedha mjini Dodoma.
Ofisa
Uhusiano wa NMB, Doris Kilale (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa
mbunge wa viti maalum, Mathew Mlacha na Mbunge wa Busega, Titus
Kamani juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na benki ya NMB.
Na Mwandishi Wetu
Na Mwandishi Wetu
Benki
ya NMB inashiriki maonyesho ya huduma za kibenki yanayoendelea katika
viwanja vya Bunge mkoani Dodoma. Lengo la maonyesho hayo ni kuelezea
huduma mbali mbali zitolewazo na benki ya NMB kwa wateja wake.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)