MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA TAYARI USHAWASILI NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS TAYARI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR NA VITONGOJII VYAKE KUTOA HESHIMA ZA MWISHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA TAYARI USHAWASILI NDANI YA VIWANJA VYA LEADERS TAYARI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR NA VITONGOJII VYAKE KUTOA HESHIMA ZA MWISHO

 Gari lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea likiwa limeshawasili katika viwanja vya leaders tayari kwa wakazi wa jiji la Dar kutoa Heshima zao Za Mwisho Kabla ya Mwili Kusafirisha Mkoani Morogoro kwaajili ya Mazishi
 Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wana kamati wakijiandaa kuteremsha jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Albert Mangwea katika viwanja vya Leaders muda huu aliyefariki hivi karibuni Nchini Afrika Kusini
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa karibu sana na Marehemu Albert Mangwea wakiwa katika sura za majonzi katika viwanja vya Leaders muda huu
 Hapa ndipo jeneza la Marehemu Albert Mangwea ndipo litakapowekwa wakati wa kutoa heshima za mwish... Endelea Kuwa Nasi.....Picha Zote na Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages