Mbunge wa Iramba Magharibi-Ccm, Mwigulu Nchemba na Mbunge wa iringa Mjini -Chadema Mchungaji Peter Msigwa Nusura Wazichape - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mbunge wa Iramba Magharibi-Ccm, Mwigulu Nchemba na Mbunge wa iringa Mjini -Chadema Mchungaji Peter Msigwa Nusura Wazichape

Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizozana na wabunge wa Chadema, Mbunge wa iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa(kulia)mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (wa pili kulia) na Mbunge wa Musoma Mjini, Vicent Nyerere  (wa pili kushoto) baada ya kukutana nje ya ukumbi wa mikutano wa St Gasper,Dodoma jana wakati wa semina ya wabunge ya kuhusu Ukimwi. Picha na Fidelis Felix

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages