Mke wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (wa pili kulia waliokaa) akifarijiwa na baadhi ya wajukuu zake, wengine ni ndugu jamaa na marafiki zake wakimfariji
Mke wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara, (katikati) akiwa kwenye mbada ya mazishi ya mumewe juzi.
Mtoto wa marehemu mzee Constantine Munishi Kyara, Oscar Munishi (wa kwanza kushoto) ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania jinini Dar es Salaam wakiwa na mkewe kwenye ibada ya mazishi juzi.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara wakiwa msibani
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Marehemu Mzee Constantine Munishi Kyara
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)