Mkuu
wa Wilaya ya Bagamoyo Ahamed Kibozi akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi
wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga wawakilishi
wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo
Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA )
Kanda ya Mashariki hivi karibuni.Katikati ni Mkurugenzi wa Huduma za
Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema na Kushoto ni Meneja wa Kanda
ya Mashariki Mhandisi Oscar Mwanjesa.
Mkurugenzi
wa Huduma za Mawasiliano Dk.Raynold Mfungahema akitoa mada ya Haki na
wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano wakati wa semina ya
watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika katika chuo cha sanaa
cha Bagamoyo kwa kuwashilikisha wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za
vijiji na vitongoji vya Wilaya ya hiyo.
Afisa
wa Idara ya Posta wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA,Bi,Ccilia
Sylvester,akitoa mada juu ya mfumo mpya wa anuani za posta semina ya
wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya
mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani
Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya
Mashariki wakiwakatika foleni ya kujiandikisha wakati wakuingia katika
semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo.
Mkurugenzi
wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akionyeshwa na
Rajabu Husein ujumbe kwenye simu yake wakati alipokuwa akitoa mada
ya haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano katika semina
ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowashirikisha wakazi
wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
Meneja
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Mhandisi
Oscar Mwanjesa akimkabidhi zawadi ya simu Mwanahamisi Muhamed baada
ya kujishindia wakati wa semina ya watumiaji wa Mawasiliano (wadau)
iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo
iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
Mhasibu
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Patrice Lumumba akitao zawadi
ya simu kwa mmoja wa wasshiriki wa semina ya wadau wa huduma za
Mawasiliano iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na
vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki hivi karibuni.
Mkuu
wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmedi Kipozi akisalimiana na Ramadhan Said
wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano
iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji
vya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.semina hiyo ilialiandaliwa na
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki.
Meneja
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Mhandisi
Oscar Mwanjesa akimkabidhi zawadi ya simu Ramadhani Said (76) baada
ya kushinda kujibu swali wakati wa semina ya watumiaji wa huduma za
Mawasiliano (wadau) iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo
Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Kanda ya Mashariki.
Meneja
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Mhandisi
Oscar Mwanjesa akimkabidhi zawadi ya simu Mwanahamisi Muhamed baada
ya kujishindia wakati wa semina ya watumiaji wa Mawasiliano (wadau)
iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo
iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
Baadhi
ya washiriki wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga
wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya
Bagamoyo Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki wakiwakatika foleni ya
kujiandikisha wakati wakuingia katika semina hiyo iliyofanyika katika
ukumbi wa chuo cha sanaa bagamoyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)