Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia washiriki wa kutano, wakati akifungua rasmi Mkutano wa 24
wa mwaka wa nguvu za Atomiki Tanzania, wa Utafiti na Mfunzo ya ukuaji wa
Teknolojia ya Sayansi ya Nyuklia, ulioanza leo katika Ukumbi wa AICC
jijini Arusha.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba
yake ya ufunguzi wa mkutano huo leo, katika Ukumbi wa AICC jijini
Arusha.

Picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Utafiti wa Mitambo ya Nyuklia,
Kitengo cha Matengenezo, Yesaya Sungita, wakati Makamu alipotembelea
Taasisi ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania, iliyopo eneo la Njiro
jijini Arusha leo, Juni 25, 2013 baada ya kufungua mkutano wa 24 wa
mwaka wa nguvu za Atomiki Tanzania, wa Utafiti na Mfunzo ya ukuaji wa
Teknolojia ya Sayansi ya Nyuklia, ulioanza leo katika Ukumbi wa AICC
jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa msimamizi wa Mashine ya kutafiti Vyakula
na Mazingira, Remigius Kawala, wakati Makamu alipotembelea Taasisi ya
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania, iliyopo eneo la Njiro jijini Arusha
leo, Juni 25, 2013 baada ya kufungua mkutano wa 24 wa mwaka wa nguvu za
Atomiki Tanzania, wa Utafiti na Mfunzo ya ukuaji wa Teknolojia ya
Sayansi ya Nyuklia, ulioanza leo katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia na kusikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya
Kinga ya Mionzi, Ukaguzi wa Vifaa, Dkt. Willbrod Muhogola, wakati
Makamu alipotembelea Taasisi ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania,
iliyopo eneo la Njiro jijini Arusha leo, baada ya kufungua mkutano wa 24
wa mwaka wa nguvu za Atomiki Tanzania, wa Utafiti na Mfunzo ya ukuaji
wa Teknolojia ya Sayansi ya Nyuklia, ulioanza leo katika Ukumbi wa AICC
jijini Arusha.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Taasisi ta Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania, iliyopo
eneo la Njiro jijini Arusha, wakimsikiliza Mhe. Makamu wa Rais Dkt.
Bilal, wakati akizungumza nao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania, iliyopo eneo la Njiro jijini Arusha,
baada ya kuzungumza nao alipotembelea Taasisi hiyo leo.Picha Na OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)