Mafundi wa kampuni ya ujenzi wa barabara wakichanganya zege tayari kwa kuanza kuweka vibao vitakavyokuwa vinaonyesha upande wa daladala na sehemu yao ya kupaki
Fundi wa kampuni ya ujenzi wa barabara akiwa ameshikilia kibao kinachoeleza sehemu ya daladala zitakazokuwa zikianzia Segerea kwenda Gongo la mboto zitakapokuwa zinaegeshwa wakati wa kusubiria abiria kituoni hapo
Mafundi wakiendelea na zoezi la kusimamisha vibao vitakavyoelekeza au kuonyesha mahali daladala zitakapokuwa zikielekea wakati zikianzia safari katika kituo hiko cha Segerea
Baadhi ya Vibao vikiendelea kuwekwa huku vingine vikiwa tayari vishasimamishwa katika kituo cha Daladala cha Segerea
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)