Dereva Wa gari ndogo aina ya peugot (katikati) akijaribu kukata kulipita lori huku sehemu aliyopo hairuhusu kufanya hivyo.
Hapa alinusurika kugongwa na lori mara baada ya kutaka kujaribu kulipita lori ghafla bila kuangalia mbele
Hapa ndipo alipojaribu kutaka kulipita lori la mbele yake na ghafla akarudi nyuma ya lori mara baada ya kuona mbele kuna gari linakuja
Matumizi sahihi ya alama za barabarani
Mkaa ukipelekwa Mjini
Mkeka safi kutoka Dar hadi Morogoro
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)