Bidhaa zikiwa Sokoni
Baadhi ya wakazi wa Kijiji Cha Mtumbatu Kilichopo Mkoani Morogoro wakifuatilia moja ya makongamo ambayo hufanyika kila jumamosi na jumapili kijijini hapo huku kukiambatana na Burudani ya Muziki
Mfanyabiashara wa Nyanya kutoka kijiji cha Mtumbatu Mkoani Morogoro akiuza nyanya kwa mteja ambaye alisimama kwa Muda kwaajili ya kununua nyanya kabla ya kuamua kuendelea na Safari yake ya Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)